MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU

Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo.Philip Miyawa ana zaidi...........

2356 232

Suggested Podcasts

Charles Dickens

Kelly a Lauren

TheOCDandAnxietyPodcast

HesperYoga

Skybound Entertainment

The Grawlix (Adam Cayton-Holland, Ben Roy, Andrew Orvedahl)

Tabadlab

vaishnavi